Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 9:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 “Sikia, Ee Israeli, leo unavuka Yordani+ uingie ndani na kuyafukuza mataifa makubwa zaidi na yenye nguvu zaidi kuliko wewe,+ majiji makubwa na yenye ngome zinazofika mbinguni,+

  • Yoshua 1:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 “Piteni katikati ya kambi na kuwaamuru watu, mkisema, ‘Jitayarishieni chakula, kwa kuwa siku tatu kutoka sasa mtavuka huu mto Yordani ili kuingia na kuimiliki nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa ninyi mpate kuimiliki.’”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki