Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 5:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 “‘Au nafsi inapogusa kitu kisicho safi, iwe ni mzoga wa mnyama-mwitu asiye safi au mzoga wa mnyama wa kufugwa asiye safi au mzoga wa kiumbe kinachozaana kwa wingi kisicho safi,+ ingawa ulikuwa umefichwa machoni pake,+ bado yeye si safi naye amekuwa na hatia.+

  • Mambo ya Walawi 13:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Naye kuhani ataliangalia lile pigo lililo katika ngozi ya mwili.+ Nywele zilizo katika pigo hilo zikigeuka na kuwa nyeupe na pigo lionekane kuwa limepenya chini ya ngozi ya mwili wake, ni pigo la ukoma. Naye kuhani atalitazama, naye atamtangaza kuwa asiye safi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki