Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 12:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Na Abramu akapita katikati ya nchi mpaka eneo la Shekemu,+ karibu na miti mikubwa ya More;+ wakati huo Mkanaani alikuwa katika nchi hiyo.

  • Mwanzo 35:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Basi wakampa Yakobo miungu yote ya kigeni+ iliyokuwa mikononi mwao na vipuli vilivyokuwa masikioni mwao, naye Yakobo akavificha+ chini ya ule mti mkubwa uliokuwa karibu na Shekemu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki