Mwanzo 35:4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Basi wakampa Yakobo miungu yote ya kigeni waliyokuwa nayo na vipuli walivyovaa masikioni, kisha Yakobo akavifukia* chini ya mti mkubwa uliokuwa karibu na Shekemu.
4 Basi wakampa Yakobo miungu yote ya kigeni waliyokuwa nayo na vipuli walivyovaa masikioni, kisha Yakobo akavifukia* chini ya mti mkubwa uliokuwa karibu na Shekemu.