Mwanzo 35:4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Basi wakampa Yakobo miungu yote ya kigeni+ iliyokuwa mikononi mwao na vipuli vilivyokuwa masikioni mwao, naye Yakobo akavificha+ chini ya ule mti mkubwa uliokuwa karibu na Shekemu.
4 Basi wakampa Yakobo miungu yote ya kigeni+ iliyokuwa mikononi mwao na vipuli vilivyokuwa masikioni mwao, naye Yakobo akavificha+ chini ya ule mti mkubwa uliokuwa karibu na Shekemu.