Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 17:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Na ikawa kwamba mara tu Musa alipoinua mkono wake juu, Waisraeli wakawa na nguvu zaidi;+ lakini mara tu alipoushusha mkono wake, Waamaleki wakawa na nguvu zaidi.

  • Yoshua 8:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Kisha ninyi mtasimama kutoka hapo mlipovizia, nanyi mtalikamata jiji; na Yehova Mungu wenu hakika atalitia jiji hilo mikononi mwenu.+

  • Yoshua 8:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Yoshua naye hakuurudisha nyuma mkono wake ambao alitumia kunyoosha ule mkuki+ mpaka alipokuwa amewaangamiza+ wakaaji wote wa Ai.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki