Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 9:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Basi wao, kwa kupenda kwao wenyewe, wakatenda kwa werevu,+ wakajiwekea akiba ya vyakula na kuchukua magunia yaliyochakaa kwa ajili ya punda zao, na viriba vya divai vilivyochakaa, vilivyopasuka na kufungwa,+

  • Marko 2:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Pia, hakuna mtu anayeweka divai mpya ndani ya viriba vya divai vilivyozeeka; akifanya hivyo, divai hupasua ngozi ya viriba hivyo, na divai hupotea na vilevile ngozi.+ Bali watu huweka divai mpya ndani ya viriba vipya vya divai.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki