-
Marko 2:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Pia, hakuna mtu anayeweka divai mpya katika viriba vya divai vilivyochakaa. Akifanya hivyo, divai itapasua ngozi ya viriba naye atapoteza divai pamoja na ngozi. Lakini divai mpya huwekwa katika viriba vipya vya divai.”
-
-
Marko 2:22Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
22 Pia, hakuna mtu awekaye divai mpya ndani ya viriba vikuukuu vya divai; akifanya hivyo, divai hupasua ngozi, na divai hupotezwa na vilevile ngozi. Bali watu huweka divai mpya ndani ya viriba vipya vya divai.”
-