13 Na damu hiyo itakuwa ishara yenu juu ya nyumba mtakazokuwamo; nami nitaiona damu hiyo na kupita juu yenu,+ nalo pigo halitakuja juu yenu kama uharibifu ninapoipiga nchi ya Misri.
18 Tazama! Tutaingia katika nchi hii. Funga kamba hii ya uzi mwekundu katika dirisha ambalo ulitushushia, na baba yako na mama yako na ndugu zako na nyumba yote ya baba yako uwakusanye kwako ndani ya nyumba.+