Yoshua 8:29 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 29 Naye akamtundika mfalme wa Ai+ juu ya mti mpaka jioni;+ na jua lilipokaribia kutua, Yoshua akatoa amri nao wakachukua maiti yake+ kutoka mtini na kuitupa kwenye mwingilio wa lango la jiji nao wakaweka rundo kubwa la mawe juu yake, mpaka leo hii.
29 Naye akamtundika mfalme wa Ai+ juu ya mti mpaka jioni;+ na jua lilipokaribia kutua, Yoshua akatoa amri nao wakachukua maiti yake+ kutoka mtini na kuitupa kwenye mwingilio wa lango la jiji nao wakaweka rundo kubwa la mawe juu yake, mpaka leo hii.