Waamuzi 20:47 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 47 Lakini wanaume mia sita wakageuka, wakakimbia kuelekea nyikani mpaka kwenye mwamba wa Rimoni, nao wakaendelea kukaa juu ya mwamba wa Rimoni+ kwa miezi minne.
47 Lakini wanaume mia sita wakageuka, wakakimbia kuelekea nyikani mpaka kwenye mwamba wa Rimoni, nao wakaendelea kukaa juu ya mwamba wa Rimoni+ kwa miezi minne.