Waamuzi 5:26 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 26 Akanyoosha mkono wake akashika kigingi cha hema,Nao mkono wake wa kuume ukashika nyundo ya mti ya wafanyakazi wenye bidii.+Akampiga Sisera kwa nyundo hiyo, akatoboa kichwa chake,+Akapasua na kukata kipaji cha uso wake.
26 Akanyoosha mkono wake akashika kigingi cha hema,Nao mkono wake wa kuume ukashika nyundo ya mti ya wafanyakazi wenye bidii.+Akampiga Sisera kwa nyundo hiyo, akatoboa kichwa chake,+Akapasua na kukata kipaji cha uso wake.