Waamuzi 5:26 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 26 Alinyoosha mkono wake akachukua kigingi cha hema,Na kwa mkono wake wa kulia akachukua nyundo ya fundi. Akampiga Sisera kwa nyundo, akamponda kichwa,Akampasua na kumtoboa kichwa.+
26 Alinyoosha mkono wake akachukua kigingi cha hema,Na kwa mkono wake wa kulia akachukua nyundo ya fundi. Akampiga Sisera kwa nyundo, akamponda kichwa,Akampasua na kumtoboa kichwa.+