Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 4:21, 22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Lakini Yaeli mke wa Heberi akachukua kigingi cha hema na nyundo. Kisha Sisera alipokuwa amelala usingizi mzito kwa sababu ya uchovu, Yaeli akaenda kimyakimya na kukipigilia kile kigingi kichwani mwake,* nacho kikapenya mpaka udongoni, akafa.+

      22 Baraka alipokuwa anamtafuta Sisera, Yaeli akatoka nje kumpokea, akamwambia, “Njoo nikuonyeshe mtu unayemtafuta.” Baraka akamfuata hemani, akamwona Sisera akiwa amekufa, kigingi kikiwa kichwani mwake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki