-
Waamuzi 5:26, 27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Alinyoosha mkono wake akachukua kigingi cha hema,
Na kwa mkono wake wa kulia akachukua nyundo ya fundi.
Akampiga Sisera kwa nyundo, akamponda kichwa,
Akampasua na kumtoboa kichwa.+
27 Alianguka katikati ya miguu yake; alianguka na kulala kimya;
Alianguka katikati ya miguu yake akafa;
Alipoangukia, hapo ndipo alipolala akiwa ameshindwa.
-