Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 7:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Basi Gideoni akaja, na, tazama! kulikuwa na mtu akimsimulia mwenzake ndoto, naye akasema: “Hii ni ndoto ambayo nimeota.+ Na, tazama! kulikuwa na keki ya mviringo ya mkate wa shayiri ikigeuka-geuka katika kambi ya Midiani. Ndipo ikaja kwenye hema na kulipiga nalo likaanguka,+ ikalipindua juu chini, na hema hilo likaanguka chini.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki