Waamuzi 4:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Ndipo Debora akamwambia Baraka: “Simama, kwa maana hii ndiyo siku ambayo Yehova hakika atamtia Sisera mkononi mwako. Je, Yehova siye ambaye ameenda mbele yako?”+ Na Baraka akashuka kutoka Mlima Tabori akiwa na wanaume elfu kumi nyuma yake.
14 Ndipo Debora akamwambia Baraka: “Simama, kwa maana hii ndiyo siku ambayo Yehova hakika atamtia Sisera mkononi mwako. Je, Yehova siye ambaye ameenda mbele yako?”+ Na Baraka akashuka kutoka Mlima Tabori akiwa na wanaume elfu kumi nyuma yake.