-
Waamuzi 4:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Ndipo Debora akamwambia Baraka: “Inuka! Kwa maana hii ndiyo siku ambayo Yehova atamtia Sisera mikononi mwako. Yehova anakutangulia.” Na Baraka akashuka Mlima Tabori akifuatwa na wanaume 10,000.
-