Waamuzi 4:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Ndipo Debora akamwambia Baraka: “Simama, kwa maana hii ndiyo siku ambayo Yehova hakika atamtia Sisera mkononi mwako. Je, Yehova siye ambaye ameenda mbele yako?”+ Na Baraka akashuka kutoka Mlima Tabori akiwa na wanaume elfu kumi nyuma yake. Waamuzi Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 4:14 w98 12/15 12 Waamuzi Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 4:14 Mnara wa Mlinzi,8/1/2015, uku. 1412/15/1998, kur. 11-12
14 Ndipo Debora akamwambia Baraka: “Simama, kwa maana hii ndiyo siku ambayo Yehova hakika atamtia Sisera mkononi mwako. Je, Yehova siye ambaye ameenda mbele yako?”+ Na Baraka akashuka kutoka Mlima Tabori akiwa na wanaume elfu kumi nyuma yake.