4 Nao mpaka wenu utabadilika kutoka kusini mwa mpando wa Akrabimu+ na kuvuka hadi Zini, nao mwisho wake utakuwa kusini mwa Kadesh-barnea;+ nao utatoka Hasar-adari+ na kuvuka hadi Asimoni.
3 Nao ukaelekea upande wa kusini kuelekea kwenye mpando wa Akrabimu+ na kuvuka hadi Zini+ na kupanda kutoka kusini hadi Kadesh-barnea+ na kuvuka hadi Hezroni na kupanda hadi Adari na kuzunguka hadi Karka.