27 Walipoendelea kumwambia maneno yote ya Yosefu aliyokuwa amewaambia na alipoona magari ambayo Yosefu alikuwa ametuma yamchukue, roho ya Yakobo baba yao ikaanza kufufuka.+
12 Zaidi ya hayo, wakampa kipande cha keki ya tini zilizoshinikizwa na keki mbili za zabibu kavu.+ Ndipo akala na roho+ yake ikarudi kwake; kwa maana hakuwa amekula mkate wala kunywa maji kwa siku tatu, mchana na usiku.