-
Mwanzo 35:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Wana wa Raheli walikuwa Yosefu na Benyamini.
-
-
Mwanzo 46:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Hao ndio wana wa Raheli ambao alimzalia Yakobo. Nafsi zote zilikuwa 14.
-