Ruthu 1:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Mwanamume huyo aliitwa Elimeleki, na mke wake aliitwa Naomi, nao wanawe wawili waliitwa Maloni na Kilioni, Waefrathi+ kutoka Bethlehemu katika Yuda. Mwishowe wakafika katika nyanda za Moabu, wakakaa huko.
2 Mwanamume huyo aliitwa Elimeleki, na mke wake aliitwa Naomi, nao wanawe wawili waliitwa Maloni na Kilioni, Waefrathi+ kutoka Bethlehemu katika Yuda. Mwishowe wakafika katika nyanda za Moabu, wakakaa huko.