Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 2:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Baada ya hayo akawashusha kwa kamba kupitia dirishani, kwa kuwa nyumba yake ilikuwa upande wa ukuta, naye alikuwa akikaa ukutani.+

  • Matendo 9:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Kwa hiyo wanafunzi wake wakamchukua na kumshusha usiku kupitia shimo ukutani, wakamshusha katika kapu.+

  • 2 Wakorintho 11:33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 lakini nilishushwa kupitia dirisha ukutani katika kapu+ kubwa nami nikaiponyoka mikono yake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki