1 Samweli 28:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Wakati yule mwanamke alipomwona “Samweli,”+ akaanza kupiga kelele kwa sauti yake yote; na mwanamke huyo akamwambia Sauli: “Kwa nini umenidanganya, kwa kuwa wewe mwenyewe ndiye Sauli?”
12 Wakati yule mwanamke alipomwona “Samweli,”+ akaanza kupiga kelele kwa sauti yake yote; na mwanamke huyo akamwambia Sauli: “Kwa nini umenidanganya, kwa kuwa wewe mwenyewe ndiye Sauli?”