Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 2:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Basi Elkana akaenda Rama nyumbani kwake; na yule mvulana akawa mhudumu+ wa Yehova mbele ya Eli kuhani.

  • 1 Samweli 3:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Naye Samweli akaendelea kulala mpaka asubuhi. Kisha akafungua milango ya nyumba ya Yehova.+ Na Samweli akaogopa kumwambia Eli maono hayo.+

  • Methali 20:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Kwa matendo yake, mvulana hujitambulisha kama utendaji wake ni safi na mnyoofu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki