Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 21:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Baadaye Daudi akafika Nobu+ kwa Ahimeleki+ kuhani; naye Ahimeleki akaanza kutetemeka alipokutana na Daudi, kisha akamwambia: “Kwa nini uko peke yako, wala hakuna yeyote aliye pamoja nawe?”+

  • 1 Samweli 21:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Ndipo Daudi akamwambia Ahimeleki kuhani: “Mfalme mwenyewe aliniamuru kuhusu habari fulani,+ naye akaniambia, ‘Usiache yeyote ajue lolote kuhusu habari ninayokutuma na kuhusu yale ambayo nimekuamuru.’ Nami nimefanya mapatano ya kukutana mahali fulani pamoja na vijana.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki