Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 21
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

1 Samweli 21:1

Marejeo

  • +1Sa 22:19; Ne 11:32; Isa 10:32
  • +1Sa 22:9
  • +1Sa 18:13

1 Samweli 21:2

Marejeo

  • +Mt 10:16

1 Samweli 21:3

Marejeo

  • +Zb 37:25

1 Samweli 21:4

Marejeo

  • +Kut 25:30; Law 24:5, 9; Mt 12:4; Lu 6:4
  • +Kut 19:15; Law 15:16; 2Sa 11:11

1 Samweli 21:5

Marejeo

  • +Law 15:18; Kum 23:10

1 Samweli 21:6

Marejeo

  • +Law 24:9; Mt 12:4; Mk 2:26; Lu 6:4
  • +Law 24:8

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Yesu—Njia, kur. 76-77

    The Watchtower,

    3/15/2005, uku. 30

    9/1/2002, uku. 18

    7/15/1986, kur. 8-9

  • Fahirishi ya Machapisho

    w05 3/15 30; w02 9/1 18

1 Samweli 21:7

Marejeo

  • +Law 13:2; Hes 5:2; Zb 66:13
  • +1Sa 22:9; Zb 52:utangulizi
  • +Mwa 36:1; Kut 12:49; Law 19:34; Kum 2:4; 1Sa 14:47
  • +1Sa 8:17; 11:5; 1Nya 27:29; 2Nya 26:10

1 Samweli 21:9

Marejeo

  • +1Sa 17:51, 54
  • +1Sa 17:2, 50
  • +Kut 28:6

1 Samweli 21:10

Marejeo

  • +1Sa 27:1
  • +Yos 11:22; 1Sa 5:8; 17:4; 27:2; 1Fa 2:39; 2Fa 12:17; Zb 56:utangulizi

1 Samweli 21:11

Marejeo

  • +1Sa 16:1, 13; 18:8
  • +1Sa 18:6; Zb 150:4; Yer 31:4
  • +1Sa 18:7; 29:5

1 Samweli 21:12

Marejeo

  • +Zb 56:3

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    4/15/1987, kur. 18-19

1 Samweli 21:13

Marejeo

  • +Zb 34:utangulizi; Mt 10:16
  • +Zb 56:6

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    1/2024, kur. 2-3

    The Watchtower,

    3/15/2005, uku. 24

    4/15/1987, kur. 18-19

  • Fahirishi ya Machapisho

    w05 3/15 24

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

1 Sam. 21:11Sa 22:19; Ne 11:32; Isa 10:32
1 Sam. 21:11Sa 22:9
1 Sam. 21:11Sa 18:13
1 Sam. 21:2Mt 10:16
1 Sam. 21:3Zb 37:25
1 Sam. 21:4Kut 25:30; Law 24:5, 9; Mt 12:4; Lu 6:4
1 Sam. 21:4Kut 19:15; Law 15:16; 2Sa 11:11
1 Sam. 21:5Law 15:18; Kum 23:10
1 Sam. 21:6Law 24:9; Mt 12:4; Mk 2:26; Lu 6:4
1 Sam. 21:6Law 24:8
1 Sam. 21:7Law 13:2; Hes 5:2; Zb 66:13
1 Sam. 21:71Sa 22:9; Zb 52:utangulizi
1 Sam. 21:7Mwa 36:1; Kut 12:49; Law 19:34; Kum 2:4; 1Sa 14:47
1 Sam. 21:71Sa 8:17; 11:5; 1Nya 27:29; 2Nya 26:10
1 Sam. 21:91Sa 17:51, 54
1 Sam. 21:91Sa 17:2, 50
1 Sam. 21:9Kut 28:6
1 Sam. 21:101Sa 27:1
1 Sam. 21:10Yos 11:22; 1Sa 5:8; 17:4; 27:2; 1Fa 2:39; 2Fa 12:17; Zb 56:utangulizi
1 Sam. 21:111Sa 16:1, 13; 18:8
1 Sam. 21:111Sa 18:6; Zb 150:4; Yer 31:4
1 Sam. 21:111Sa 18:7; 29:5
1 Sam. 21:12Zb 56:3
1 Sam. 21:13Zb 34:utangulizi; Mt 10:16
1 Sam. 21:13Zb 56:6
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
1 Samweli 21:1-15

1 Samweli

21 Baadaye Daudi akafika Nobu+ kwa Ahimeleki+ kuhani; naye Ahimeleki akaanza kutetemeka alipokutana na Daudi, kisha akamwambia: “Kwa nini uko peke yako, wala hakuna yeyote aliye pamoja nawe?”+ 2 Ndipo Daudi akamwambia Ahimeleki kuhani: “Mfalme mwenyewe aliniamuru kuhusu habari fulani,+ naye akaniambia, ‘Usiache yeyote ajue lolote kuhusu habari ninayokutuma na kuhusu yale ambayo nimekuamuru.’ Nami nimefanya mapatano ya kukutana mahali fulani pamoja na vijana. 3 Basi sasa, ikiwa kuna mikate mitano pamoja nawe, nipe mkononi mwangu, au chochote kinachoweza kupatikana.”+ 4 Lakini yule kuhani akamjibu Daudi na kusema: “Hakuna mkate wa kawaida mkononi mwangu, lakini kuna mkate mtakatifu;+ ikiwa tu hao vijana wamejiepusha na wanawake.”+ 5 Kwa hiyo Daudi akamjibu kuhani na kumwambia: “Wanawake wamekaa mbali nasi kama ilivyokuwa hapo mwanzoni nilipotoka,+ na viungo vya hao vijana vingali ni vitakatifu, ingawa utume wenyewe ni wa kawaida. Na je, si zaidi leo, mtu anapokuwa mtakatifu katika kiungo chake?” 6 Basi kuhani akampa kilicho kitakatifu,+ kwa sababu hakukuwa na mkate mwingine hapo isipokuwa mkate wa wonyesho uliokuwa umeondolewa mbele za Yehova+ ili kuweka mkate mpya hapo, siku ambayo uliondolewa.

7 Basi mmoja wa watumishi wa Sauli alikuwa hapo siku hiyo, akiwa amezuiliwa+ mbele za Yehova, na jina lake lilikuwa Doegi+ Mwedomu,+ mkuu wa wachungaji wa Sauli.+

8 Na Daudi akamwambia tena Ahimeleki: “Je, hakuna chochote hapa kwako, mkuki au upanga? Kwa kuwa sikuchukua mkononi mwangu upanga wangu wala silaha zangu, kwa sababu jambo hili la mfalme lilikuwa la haraka.” 9 Ndipo kuhani akasema: “Upanga wa Goliathi+ yule Mfilisti, uliyempiga katika nchi tambarare ya chini ya Ela+—huu hapa, umefungwa katika nguo ya kujitanda, nyuma ya efodi.+ Ikiwa unataka kuuchukua, uchukue, kwa sababu hakuna silaha nyingine yoyote isipokuwa upanga huu.” Naye Daudi akasema tena: “Hakuna upanga mwingine kama huo. Unipe huo.”

10 Kisha Daudi akaondoka, akaendelea kukimbia+ kwa sababu ya Sauli siku hiyo, mwishowe akafika kwa Akishi mfalme wa Gathi.+ 11 Nao watumishi wa Akishi wakaanza kumwambia: “Je, huyu si Daudi mfalme+ wa ile nchi? Je, haikuwa kwa huyu ambaye waliendelea kuitikia kwa kucheza dansi,+ wakisema,

‘Sauli amepiga maelfu yake,

Na Daudi makumi ya maelfu yake’?”+

12 Na Daudi akaanza kuyaweka maneno hayo moyoni mwake, naye akaogopa+ sana kwa sababu ya Akishi mfalme wa Gathi. 13 Kwa hiyo akabadili+ utimamu wake wa akili machoni pao,+ akaanza kujifanya mwenda-wazimu mkononi mwao naye akawa akitia alama kwenye milango ya lango na kuyaacha mate yake yatiririke juu ya ndevu zake. 14 Mwishowe Akishi akawaambia watumishi wake: “Tazameni, mtu huyu anatenda kama mwenda-wazimu. Kwa nini mmemleta kwangu? 15 Je, nimekosa watu walio na wazimu, hivi kwamba mkamleta huyu atende kiwenda-wazimu mbele yangu? Je, huyu anapaswa kuingia nyumbani mwangu?”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki