2 Naye Sauli na watu wa Israeli wakakusanyika pamoja na kupiga kambi katika nchi tambarare ya chini ya Ela,+ nao wakajipanga kivita ili kukutana na Wafilisti.
50 Basi Daudi, akiwa na kombeo na jiwe, akawa mwenye nguvu zaidi kuliko yule Mfilisti, akampiga Mfilisti na kumuua; na hakuna upanga uliokuwa mkononi mwa Daudi.+