Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 17
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

1 Samweli 17:1

Marejeo

  • +Yos 13:2; Amu 3:1, 3; 1Sa 9:16; 14:52; Amo 9:7
  • +2Nya 11:7; 28:18
  • +Yos 15:35; Yer 34:7
  • +1Nya 11:13

1 Samweli 17:2

Marejeo

  • +1Sa 21:9

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    ‘Nchi Nzuri’, uku. 16

  • Fahirishi ya Machapisho

    gl 16

1 Samweli 17:3

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/1/1990, uku. 16

1 Samweli 17:4

Marejeo

  • +1Sa 17:23
  • +Yos 11:22; 2Sa 21:22; 1Nya 20:8
  • +Mwa 6:15; Kum 3:11; 2Sa 21:20

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),

    Na. 5 2016 kur. 9, 10-13

    Mnara wa Mlinzi,

    5/15/2006, uku. 9

    1/1/1989, uku. 18

    “Kila Andiko,” uku. 56

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 5/15 9

1 Samweli 17:5

Marejeo

  • +1Sa 17:38; 1Fa 22:34; 2Nya 26:14; Yer 51:3

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    5/15/2006, uku. 9

    1/1/1989, kur. 18-19

    “Kila Andiko,” uku. 56

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 5/15 9

1 Samweli 17:6

Marejeo

  • +1Sa 17:45

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Ufahamu, uku. 169

1 Samweli 17:7

Marejeo

  • +1Nya 11:23; 20:5

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Ufahamu, uku. 169

    Mnara wa Mlinzi,

    5/15/2006, uku. 9

    1/1/1989, kur. 18-19

    “Kila Andiko,” uku. 56

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 5/15 9

1 Samweli 17:8

Marejeo

  • +Hes 33:55
  • +1Sa 8:17; 1Nya 21:3

1 Samweli 17:9

Marejeo

  • +Kum 28:15, 48

1 Samweli 17:10

Marejeo

  • +1Sa 17:26; 2Fa 19:22; Zb 80:6
  • +Zb 33:16; Met 16:18; Yer 9:23

1 Samweli 17:11

Marejeo

  • +1Sa 8:20
  • +Kum 20:1; Yos 1:9; 1Sa 17:24; Zb 27:1; Isa 51:12

1 Samweli 17:12

Marejeo

  • +Mwa 35:16, 19; Ru 1:2; 4:22; 1Sa 16:1; 17:58; Mik 5:2; Mt 2:6
  • +1Sa 16:10; 1Nya 2:13

1 Samweli 17:13

Marejeo

  • +Hes 1:3
  • +1Sa 16:6
  • +1Sa 16:8; 1Nya 2:13
  • +1Sa 16:9; 2Sa 13:3

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    9/1/2011, uku. 29

  • Fahirishi ya Machapisho

    w11 9/1 29

1 Samweli 17:14

Marejeo

  • +1Nya 2:15

1 Samweli 17:15

Marejeo

  • +1Sa 16:11, 19

1 Samweli 17:17

Marejeo

  • +Ru 2:14; 1Sa 25:18; 2Sa 17:28

1 Samweli 17:18

Marejeo

  • +1Sa 16:20; Met 3:27; 18:16
  • +Mwa 37:14

1 Samweli 17:19

Marejeo

  • +1Sa 17:2; 21:9
  • +1Sa 9:16

1 Samweli 17:20

Marejeo

  • +Kol 3:20
  • +1Sa 26:5
  • +1Sa 4:2; 23:3

1 Samweli 17:22

Marejeo

  • +1Sa 10:22; 17:17
  • +1Sa 30:24
  • +Mwa 37:14; 1Sa 17:18

1 Samweli 17:23

Marejeo

  • +1Sa 17:4; 1Nya 20:5
  • +Yos 11:22; 2Sa 21:22; 1Nya 20:8
  • +1Sa 17:10

1 Samweli 17:24

Marejeo

  • +Hes 13:33; Kum 20:3; 1Sa 17:11; Isa 7:2

1 Samweli 17:25

Marejeo

  • +1Sa 17:10; 2Fa 19:22
  • +Yos 15:16; 1Sa 14:49; 18:17, 21
  • +1Sa 8:11; Mt 17:26

1 Samweli 17:26

Marejeo

  • +1Sa 17:37
  • +Zb 74:18, 22; 79:12
  • +1Sa 14:6; 18:25
  • +1Sa 17:10
  • +Yer 10:10; 1Th 1:9

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),

    Na. 5 2016, uku. 10

    Mnara wa Mlinzi,

    5/15/2006, uku. 8

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 5/15 8

1 Samweli 17:28

Marejeo

  • +1Sa 16:6; 1Nya 2:13
  • +Zb 37:8; Met 14:17, 29; 27:4
  • +1Sa 17:20
  • +1Sa 16:7; 2Nya 6:30
  • +Met 18:13; Mhu 7:9; Mt 7:1; Ro 14:4; Yak 4:12

1 Samweli 17:29

Marejeo

  • +Met 15:1; 1Pe 3:9

1 Samweli 17:30

Marejeo

  • +1Sa 17:26
  • +1Sa 17:25

1 Samweli 17:32

Marejeo

  • +Kum 20:3; Zb 27:3
  • +1Sa 16:18; Zb 118:6; Met 28:1

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),

    Na. 5 2016 kur. 10-11

1 Samweli 17:33

Marejeo

  • +Hes 13:31; Kum 9:2
  • +1Sa 17:42

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),

    Na. 5 2016, uku. 11

1 Samweli 17:34

Marejeo

  • +Amu 14:5; Met 30:30; Isa 31:4; Amo 3:12

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    9/1/2011, uku. 27

  • Fahirishi ya Machapisho

    w11 9/1 27

1 Samweli 17:35

Marejeo

  • +Amu 14:6; 2Sa 23:20

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),

    Na. 5 2016 kur. 9-10

    Mnara wa Mlinzi,

    9/1/2011, uku. 27

  • Fahirishi ya Machapisho

    w11 9/1 27

1 Samweli 17:36

Marejeo

  • +1Sa 17:26
  • +1Sa 17:10; 2Fa 19:22
  • +1Sa 17:20; 1Nya 12:38
  • +Yer 10:10; 1Th 1:9

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    7/15/1993, uku. 25

1 Samweli 17:37

Marejeo

  • +Kum 7:21; 2Fa 6:16; Zb 18:3; 115:11; 2Ko 1:10; Ebr 11:34
  • +1Sa 14:6; Zb 97:10; 124:8

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),

    Na. 5 2016, uku. 11

1 Samweli 17:38

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),

    Na. 5 2016, uku. 11

1 Samweli 17:39

Marejeo

  • +Zek 4:6

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),

    Na. 5 2016, uku. 11

1 Samweli 17:40

Marejeo

  • +Amu 20:16; 1Sa 25:29; 2Nya 26:14

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),

    Na. 5 2016, uku. 11

1 Samweli 17:41

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),

    Na. 5 2016, uku. 12

1 Samweli 17:42

Marejeo

  • +Zb 123:4
  • +1Sa 17:33
  • +Wim 5:10; Omb 4:7
  • +1Sa 16:12

1 Samweli 17:43

Marejeo

  • +1Sa 24:14; 2Sa 9:8; 16:9; 2Fa 8:13; Lu 14:11
  • +Amu 16:23; 2Fa 1:2

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),

    Na. 5 2016, uku. 11

1 Samweli 17:44

Marejeo

  • +Met 18:12; Yer 9:23

1 Samweli 17:45

Marejeo

  • +1Sa 17:6; Isa 54:17
  • +2Sa 5:10; 22:33; Zb 44:5; 125:1; Ebr 11:34
  • +1Sa 17:10; 2Fa 19:22

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Ufahamu, uku. 21

1 Samweli 17:46

Marejeo

  • +Kum 7:2; 9:3; Yos 10:8
  • +Isa 56:9; Ufu 19:17
  • +Kut 9:16; Kum 28:10; 1Fa 8:43; 18:36; 2Fa 19:19; Zb 46:10; Isa 52:10; Da 3:29

1 Samweli 17:47

Marejeo

  • +Zb 44:6; Ho. 1:7; Zek 4:6
  • +2Nya 20:15; Zb 46:11; Met 21:31
  • +Kum 20:4

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),

    Na. 5 2016, uku. 12

    Mnara wa Mlinzi,

    1/1/1989, kur. 19, 28

1 Samweli 17:48

Marejeo

  • +Zb 27:1; Met 28:1

1 Samweli 17:49

Marejeo

  • +1Sa 17:57
  • +1Sa 17:37; 2Sa 21:22; 22:39; Zb 44:7

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),

    Na. 5 2016, uku. 12

    Mnara wa Mlinzi,

    1/1/1989, kur. 19, 21

1 Samweli 17:50

Marejeo

  • +Amu 3:31; 15:15; 1Sa 13:22; 17:47

1 Samweli 17:51

Marejeo

  • +1Sa 21:9
  • +Zb 18:40
  • +Kum 28:7; Yos 23:10; Ebr 11:34

1 Samweli 17:52

Marejeo

  • +Zb 18:37
  • +1Sa 17:2, 19
  • +Yos 15:45
  • +Yos 15:36

1 Samweli 17:53

Marejeo

  • +Yer 30:16

1 Samweli 17:54

Marejeo

  • +1Sa 31:9
  • +1Sa 21:9

1 Samweli 17:55

Marejeo

  • +1Sa 14:50
  • +1Sa 16:19, 21
  • +Kut 5:2; 1Sa 25:10

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    The Watchtower,

    3/15/2005, kur. 23-24

  • Fahirishi ya Machapisho

    w05 3/15 23-24

1 Samweli 17:57

Marejeo

  • +1Sa 17:54

1 Samweli 17:58

Marejeo

  • +Ru 4:22; 1Sa 16:1; 1Nya 2:13; Isa 11:1; Mt 1:6; Lu 3:32; Mdo 13:22; Ro 15:12
  • +1Sa 17:12; 20:6

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    8/15/2007, uku. 19

    8/1/2007, uku. 31

  • Fahirishi ya Machapisho

    w07 8/1 31; w07 8/15 19

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

1 Sam. 17:1Yos 13:2; Amu 3:1, 3; 1Sa 9:16; 14:52; Amo 9:7
1 Sam. 17:12Nya 11:7; 28:18
1 Sam. 17:1Yos 15:35; Yer 34:7
1 Sam. 17:11Nya 11:13
1 Sam. 17:21Sa 21:9
1 Sam. 17:41Sa 17:23
1 Sam. 17:4Yos 11:22; 2Sa 21:22; 1Nya 20:8
1 Sam. 17:4Mwa 6:15; Kum 3:11; 2Sa 21:20
1 Sam. 17:51Sa 17:38; 1Fa 22:34; 2Nya 26:14; Yer 51:3
1 Sam. 17:61Sa 17:45
1 Sam. 17:71Nya 11:23; 20:5
1 Sam. 17:8Hes 33:55
1 Sam. 17:81Sa 8:17; 1Nya 21:3
1 Sam. 17:9Kum 28:15, 48
1 Sam. 17:101Sa 17:26; 2Fa 19:22; Zb 80:6
1 Sam. 17:10Zb 33:16; Met 16:18; Yer 9:23
1 Sam. 17:111Sa 8:20
1 Sam. 17:11Kum 20:1; Yos 1:9; 1Sa 17:24; Zb 27:1; Isa 51:12
1 Sam. 17:12Mwa 35:16, 19; Ru 1:2; 4:22; 1Sa 16:1; 17:58; Mik 5:2; Mt 2:6
1 Sam. 17:121Sa 16:10; 1Nya 2:13
1 Sam. 17:13Hes 1:3
1 Sam. 17:131Sa 16:6
1 Sam. 17:131Sa 16:8; 1Nya 2:13
1 Sam. 17:131Sa 16:9; 2Sa 13:3
1 Sam. 17:141Nya 2:15
1 Sam. 17:151Sa 16:11, 19
1 Sam. 17:17Ru 2:14; 1Sa 25:18; 2Sa 17:28
1 Sam. 17:181Sa 16:20; Met 3:27; 18:16
1 Sam. 17:18Mwa 37:14
1 Sam. 17:191Sa 17:2; 21:9
1 Sam. 17:191Sa 9:16
1 Sam. 17:20Kol 3:20
1 Sam. 17:201Sa 26:5
1 Sam. 17:201Sa 4:2; 23:3
1 Sam. 17:221Sa 10:22; 17:17
1 Sam. 17:221Sa 30:24
1 Sam. 17:22Mwa 37:14; 1Sa 17:18
1 Sam. 17:231Sa 17:4; 1Nya 20:5
1 Sam. 17:23Yos 11:22; 2Sa 21:22; 1Nya 20:8
1 Sam. 17:231Sa 17:10
1 Sam. 17:24Hes 13:33; Kum 20:3; 1Sa 17:11; Isa 7:2
1 Sam. 17:251Sa 17:10; 2Fa 19:22
1 Sam. 17:25Yos 15:16; 1Sa 14:49; 18:17, 21
1 Sam. 17:251Sa 8:11; Mt 17:26
1 Sam. 17:261Sa 17:37
1 Sam. 17:26Zb 74:18, 22; 79:12
1 Sam. 17:261Sa 14:6; 18:25
1 Sam. 17:261Sa 17:10
1 Sam. 17:26Yer 10:10; 1Th 1:9
1 Sam. 17:281Sa 16:6; 1Nya 2:13
1 Sam. 17:28Zb 37:8; Met 14:17, 29; 27:4
1 Sam. 17:281Sa 17:20
1 Sam. 17:281Sa 16:7; 2Nya 6:30
1 Sam. 17:28Met 18:13; Mhu 7:9; Mt 7:1; Ro 14:4; Yak 4:12
1 Sam. 17:29Met 15:1; 1Pe 3:9
1 Sam. 17:301Sa 17:26
1 Sam. 17:301Sa 17:25
1 Sam. 17:32Kum 20:3; Zb 27:3
1 Sam. 17:321Sa 16:18; Zb 118:6; Met 28:1
1 Sam. 17:33Hes 13:31; Kum 9:2
1 Sam. 17:331Sa 17:42
1 Sam. 17:34Amu 14:5; Met 30:30; Isa 31:4; Amo 3:12
1 Sam. 17:35Amu 14:6; 2Sa 23:20
1 Sam. 17:361Sa 17:26
1 Sam. 17:361Sa 17:10; 2Fa 19:22
1 Sam. 17:361Sa 17:20; 1Nya 12:38
1 Sam. 17:36Yer 10:10; 1Th 1:9
1 Sam. 17:37Kum 7:21; 2Fa 6:16; Zb 18:3; 115:11; 2Ko 1:10; Ebr 11:34
1 Sam. 17:371Sa 14:6; Zb 97:10; 124:8
1 Sam. 17:39Zek 4:6
1 Sam. 17:40Amu 20:16; 1Sa 25:29; 2Nya 26:14
1 Sam. 17:42Zb 123:4
1 Sam. 17:421Sa 17:33
1 Sam. 17:42Wim 5:10; Omb 4:7
1 Sam. 17:421Sa 16:12
1 Sam. 17:431Sa 24:14; 2Sa 9:8; 16:9; 2Fa 8:13; Lu 14:11
1 Sam. 17:43Amu 16:23; 2Fa 1:2
1 Sam. 17:44Met 18:12; Yer 9:23
1 Sam. 17:451Sa 17:6; Isa 54:17
1 Sam. 17:452Sa 5:10; 22:33; Zb 44:5; 125:1; Ebr 11:34
1 Sam. 17:451Sa 17:10; 2Fa 19:22
1 Sam. 17:46Kum 7:2; 9:3; Yos 10:8
1 Sam. 17:46Isa 56:9; Ufu 19:17
1 Sam. 17:46Kut 9:16; Kum 28:10; 1Fa 8:43; 18:36; 2Fa 19:19; Zb 46:10; Isa 52:10; Da 3:29
1 Sam. 17:47Zb 44:6; Ho. 1:7; Zek 4:6
1 Sam. 17:472Nya 20:15; Zb 46:11; Met 21:31
1 Sam. 17:47Kum 20:4
1 Sam. 17:48Zb 27:1; Met 28:1
1 Sam. 17:491Sa 17:57
1 Sam. 17:491Sa 17:37; 2Sa 21:22; 22:39; Zb 44:7
1 Sam. 17:50Amu 3:31; 15:15; 1Sa 13:22; 17:47
1 Sam. 17:511Sa 21:9
1 Sam. 17:51Zb 18:40
1 Sam. 17:51Kum 28:7; Yos 23:10; Ebr 11:34
1 Sam. 17:52Zb 18:37
1 Sam. 17:521Sa 17:2, 19
1 Sam. 17:52Yos 15:45
1 Sam. 17:52Yos 15:36
1 Sam. 17:53Yer 30:16
1 Sam. 17:541Sa 31:9
1 Sam. 17:541Sa 21:9
1 Sam. 17:551Sa 14:50
1 Sam. 17:551Sa 16:19, 21
1 Sam. 17:55Kut 5:2; 1Sa 25:10
1 Sam. 17:571Sa 17:54
1 Sam. 17:58Ru 4:22; 1Sa 16:1; 1Nya 2:13; Isa 11:1; Mt 1:6; Lu 3:32; Mdo 13:22; Ro 15:12
1 Sam. 17:581Sa 17:12; 20:6
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
  • 27
  • 28
  • 29
  • 30
  • 31
  • 32
  • 33
  • 34
  • 35
  • 36
  • 37
  • 38
  • 39
  • 40
  • 41
  • 42
  • 43
  • 44
  • 45
  • 46
  • 47
  • 48
  • 49
  • 50
  • 51
  • 52
  • 53
  • 54
  • 55
  • 56
  • 57
  • 58
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
1 Samweli 17:1-58

1 Samweli

17 Na Wafilisti+ wakakusanya kambi zao kwa ajili ya vita. Walipokusanyika pamoja huko Soko,+ ambalo ni jiji la Yuda, ndipo wakapiga kambi kati ya Soko na Azeka,+ katika Efes-damimu.+ 2 Naye Sauli na watu wa Israeli wakakusanyika pamoja na kupiga kambi katika nchi tambarare ya chini ya Ela,+ nao wakajipanga kivita ili kukutana na Wafilisti. 3 Nao Wafilisti walikuwa wamesimama juu ya mlima upande huu, na Waisraeli walikuwa wamesimama juu ya mlima upande ule, na bonde lilikuwa katikati yao.

4 Na bingwa fulani akatoka katika kambi za Wafilisti, na jina lake lilikuwa Goliathi,+ kutoka Gathi,+ urefu wake ulikuwa mikono sita na shubiri moja.+ 5 Na kulikuwa na kofia ya shaba juu ya kichwa chake, naye alikuwa amevaa vazi la chuma, lenye mabamba yanayoingiana, na uzito wa vazi lake la chuma+ ulikuwa shekeli elfu tano za shaba. 6 Na kulikuwa na mabamba ya shaba juu ya miguu yake na fumo la shaba+ kati ya mabega yake. 7 Na mpini wa mkuki wake ulikuwa kama mti wa wafumaji wa nguo,+ na kichwa cha mkuki wake kilikuwa shekeli mia sita za chuma; na mchukuzi wa ngao kubwa alikuwa akitembea mbele yake. 8 Halafu akasimama tuli, akaanza kuviita vikosi vya Israeli+ na kuwaambia: “Kwa nini mnatoka kujipanga kivita? Je, mimi si Mfilisti nanyi je, si watumishi+ wa Sauli? Jichagulieni mwanamume, naye ashuke, anijie. 9 Akiweza kupigana nami na kunipiga, ndipo sisi tutakapokuwa watumishi wenu. Lakini nikimweza na kumpiga, ndipo ninyi pia mtakapokuwa watumishi wetu, nanyi mtatutumikia.”+ 10 Na Mfilisti huyo akaendelea kusema: “Mimi ninavitukana+ vikosi vya Israeli leo. Nipeni mwanamume, tupigane naye!”+

11 Wakati Sauli+ na Israeli wote waliposikia hayo maneno ya yule Mfilisti, wakaingiwa na hofu na kuogopa sana.+

12 Basi Daudi alikuwa mwana wa yule Mwefrathi+ kutoka Bethlehemu ya Yuda ambaye jina lake lilikuwa Yese. Naye alikuwa na wana wanane.+ Na katika siku za Sauli mtu huyo alikuwa tayari ni mzee kati ya watu. 13 Na wale wana watatu wakubwa zaidi wa Yese wakaenda. Walimfuata Sauli kwenda vitani,+ na majina ya wanawe watatu walioenda vitani ni Eliabu+ mzaliwa wa kwanza, na mwana wake wa pili Abinadabu+ na wa tatu Shamma.+ 14 Na Daudi ndiye aliyekuwa mdogo zaidi,+ na wale watatu wakubwa zaidi wakamfuata Sauli.

15 Naye Daudi alikuwa akienda na kurudi kutoka kwa Sauli ili kuchunga kondoo+ za baba yake katika Bethlehemu. 16 Na yule Mfilisti akaendelea kuja mbele wakati wa asubuhi na mapema na wakati wa jioni na kusimama mahali pake kwa siku 40.

17 Ndipo Yese akamwambia Daudi mwana wake: “Tafadhali, wapelekee ndugu zako hii efa ya nafaka iliyochomwa+ na hii mikate kumi, uwapelekee ndugu zako haraka kambini. 18 Na haya mafungu kumi ya maziwa umpelekee mkuu wa elfu yao;+ pia, uangalie hali njema ya ndugu zako,+ nawe uchukue ishara kutoka kwao.” 19 Wakati huohuo, Sauli pamoja nao na pia wanaume wengine wote wa Israeli walikuwa katika nchi tambarare ya chini ya Ela,+ wakipigana na Wafilisti.+

20 Hivyo Daudi akaamka asubuhi na mapema, akawaacha kondoo mkononi mwa mtunzaji, akavichukua vitu vile, akaenda kama Yese alivyokuwa amemwamuru.+ Alipofika kwenye uwanja wa kambi,+ majeshi yalikuwa yakienda katika uwanja wa mapigano,+ nao wakapiga kelele za vita. 21 Na Israeli na Wafilisti wakaanza kujipanga, kikosi kikutane na kikosi. 22 Mara moja Daudi akaiacha mizigo+ aliyokuwa nayo mkononi mwa mtunzaji wa mizigo,+ na kwenda mbio kwenye uwanja wa mapigano. Alipofika, akaanza kuuliza juu ya hali ya ndugu zake.+

23 Alipokuwa akisema nao, tazama, yule bingwa, ambaye jina lake lilikuwa Goliathi+ Mfilisti kutoka Gathi,+ alikuwa akipanda kutoka katika vikosi vya Wafilisti, akaanza kusema maneno yaleyale kama hapo mwanzoni,+ na Daudi akasikiliza. 24 Nao wanaume wote wa Israeli, walipomwona yule mwanamume, wakakimbia kwa sababu yake, wakaogopa sana.+ 25 Na wanaume wa Israeli wakaanza kusema: “Je, mmemwona huyu mwanamume anayepanda? Anapanda ili kuwatukana+ Israeli. Na itatukia kwamba, mtu yule atakayempiga, mfalme atamtajirisha kwa utajiri mwingi sana, naye atampa binti yake,+ kisha ataiweka huru nyumba ya baba yake katika Israeli.”+

26 Na Daudi akaanza kuwaambia watu waliokuwa wamesimama karibu naye: “Atafanyiwa nini mtu atakayempiga yule Mfilisti+ pale na kuondolea mbali shutuma kutoka juu ya Israeli?+ Kwani huyu Mfilisti asiyetahiriwa+ ni nani hata avitukane+ vikosi vya Mungu aliye hai?”+ 27 Nao watu wakamwambia maneno yaleyale ya kwanza, wakisema: “Hivi ndivyo atakavyofanyiwa mtu atakayempiga.” 28 Na Eliabu+ ndugu yake mkubwa zaidi akasikia alipokuwa akisema na watu wale, nayo hasira ya Eliabu ikawaka juu ya Daudi,+ hivi kwamba akasema: “Kwa nini umeshuka kuja huku? Nawe uliacha mkononi mwa nani wale kondoo wachache nyikani?+ Mimi najua vema kimbelembele chako na ubaya wa moyo wako,+ kwa sababu umeshuka kwa kusudi la kuona pigano.”+ 29 Naye Daudi akasema: “Sasa nimefanya nini? Je, halikuwa neno tu?”+ 30 Ndipo akageuka kutoka kando yake, kuelekea kwa mtu mwingine, kisha akasema neno lilelile kama hapo mwanzoni,+ na watu hao wakampa jibu lilelile kama hapo mwanzoni.+

31 Kwa hiyo maneno aliyoyasema Daudi yakasikiwa, nao wakayasema mbele ya Sauli. Basi akatuma watu aletwe. 32 Naye Daudi akamwambia Sauli: “Usiache moyo wa mtu yeyote uzimie ndani yake.+ Mtumishi wako ataenda na kupigana na huyu Mfilisti.”+ 33 Lakini Sauli akamwambia Daudi: “Wewe huwezi kwenda juu ya huyu Mfilisti kupigana naye,+ kwa maana wewe ni mvulana tu,+ naye ni mwanamume wa vita tangu uvulana wake.” 34 Na Daudi akaendelea kumwambia Sauli: “Mtumishi wako alikuwa mchungaji wa baba yake kati ya kundi, na simba akaja,+ na pia dubu, na kila mmoja akamchukua kondoo kutoka katika kundi. 35 Nami nikamfuata nyuma yake na kumpiga+ na kuokoa kutoka kinywani mwake. Wakati alipoanza kupigana nami, nikazikamata ndevu zake, nikampiga, nikamuua. 36 Mtumishi wako alimuua simba na dubu vilevile; na huyu Mfilisti+ asiyetahiriwa atakuwa kama mmoja wa hao, kwa kuwa amevitukana+ vikosi+ vya Mungu aliye hai.”+ 37 Ndipo Daudi akaongeza: “Yehova, aliyenikomboa kutoka katika makucha ya simba na kutoka katika makucha ya dubu, yeye ndiye atakayenikomboa kutoka mkononi mwa huyu Mfilisti.”+ Kwa hiyo Sauli akamwambia Daudi: “Nenda, na Yehova awe pamoja nawe.”+

38 Basi Sauli akamvika Daudi mavazi yake, akaweka kofia ya shaba juu ya kichwa chake, halafu akamvika vazi la chuma. 39 Kisha Daudi akafunga upanga wake juu ya mavazi yake, akaanza kwenda, lakini hakuweza, kwa sababu hakuwa amevijaribu vitu hivyo. Mwishowe Daudi akamwambia Sauli: “Mimi siwezi kwenda nikiwa nimevaa vitu hivi, kwa maana sijavijaribu bado.” Kwa hiyo Daudi akavivua.+ 40 Naye akachukua fimbo yake mkononi mwake, akajichagulia mawe matano, yaliyo laini kabisa, kutoka katika bonde la mto, akayatia katika mfuko wake wa mchungaji ambao ulikuwa mkoba wake, na kombeo+ lilikuwa mkononi mwake. Akaanza kumkaribia yule Mfilisti.

41 Naye yule Mfilisti akaanza kuja, akamkaribia Daudi zaidi na zaidi, na yule mtu aliyechukua ile ngao kubwa alikuwa mbele yake. 42 Sasa yule Mfilisti alipotazama na kumwona Daudi, akaanza kumdharau+ kwa sababu alikuwa mvulana tu,+ mwekundu,+ na mwenye sura nzuri.+ 43 Kwa hiyo Mfilisti akamwambia Daudi: “Je, mimi ni mbwa+ hivi kwamba unijie na fimbo?” Basi huyo Mfilisti akamlaani Daudi kwa miungu yake.+ 44 Na huyo Mfilisti akaendelea kumwambia Daudi: “Wewe nikaribie tu, nyama yako nitawapa ndege wa mbinguni na wanyama wa mwituni.”+

45 Naye Daudi akamwambia yule Mfilisti: “Unakuja kwangu ukiwa na upanga na mkuki na fumo,+ lakini mimi naja kwako nikiwa na jina la Yehova wa majeshi,+ Mungu wa vikosi vya Israeli, ambaye umemtukana.+ 46 Leo Yehova atakutia mkononi mwangu,+ nami hakika nitakupiga na kukiondoa kichwa chako juu yako; nami leo nitawapa ndege wa mbinguni na wanyama-mwitu wa dunia mizoga ya kambi ya Wafilisti;+ na watu wa dunia yote watajua kwamba kuna Mungu aliye wa Israeli.+ 47 Na kutaniko hili lote watajua kwamba Yehova haokoi kwa upanga wala kwa mkuki,+ kwa sababu vita ni vya Yehova,+ naye atawatia ninyi mkononi mwetu.”+

48 Na itatukia kwamba huyo Mfilisti akasimama, akazidi kuja na kukaribia zaidi na zaidi ili akutane na Daudi, na Daudi akaanza kufanya haraka na kukimbia kuelekea kwenye uwanja wa mapigano ili akutane na yule Mfilisti.+ 49 Ndipo Daudi akatia mkono wake ndani ya mfuko wake, akachukua jiwe kutoka humo, akalitupa kwa kombeo, hivi kwamba akampiga+ yule Mfilisti katika paji la uso wake, na lile jiwe likapenya ndani ya paji la uso wake, naye akaanguka kifudifudi.+ 50 Basi Daudi, akiwa na kombeo na jiwe, akawa mwenye nguvu zaidi kuliko yule Mfilisti, akampiga Mfilisti na kumuua; na hakuna upanga uliokuwa mkononi mwa Daudi.+ 51 Na Daudi akaendelea kukimbia, akasimama juu ya yule Mfilisti. Halafu akachukua upanga wake+ na kuuchomoa kutoka ndani ya ala yake, na kumuua kabisa alipoutumia kukikata kichwa chake.+ Nao Wafilisti wakaona kwamba mwanamume wao mwenye nguvu amekufa, nao wakaanza kukimbia.+

52 Basi wanaume wa Israeli na Yuda wakasimama, wakaanza kupiga kelele na kuwafuatilia+ Wafilisti mpaka bondeni,+ mpaka malango ya Ekroni,+ na Wafilisti waliotiwa majeraha ya kufisha wakazidi kuanguka juu ya njia inayotoka Shaaraimu,+ mpaka Gathi na mpaka Ekroni. 53 Baadaye wana wa Israeli wakarudi kutoka katika kuwafuatilia vikali Wafilisti, wakapora+ kambi zao.

54 Ndipo Daudi akachukua kichwa+ cha yule Mfilisti, akakileta Yerusalemu, na silaha zake akaziweka katika hema lake.+

55 Basi wakati ule Sauli alipomwona Daudi akienda kukutana na yule Mfilisti, alimwambia Abneri+ mkuu wa jeshi: “Huyu mvulana+ ni mwana wa nani,+ Abneri?” Abneri naye akasema: “Kwa uhai wa nafsi yako, Ee mfalme, sijui kabisa!” 56 Kwa hiyo mfalme akasema: “Wewe uliza mvulana huyo ni mwana wa nani.” 57 Basi, mara Daudi aliporudi kutoka katika kumpiga yule Mfilisti, Abneri akamchukua, akamleta mbele ya Sauli, akiwa na kichwa+ cha yule Mfilisti mkononi mwake. 58 Sauli sasa akamwambia: “Wewe mvulana, wewe ni mwana wa nani?” naye Daudi akasema: “Mimi ni mwana wa mtumishi wako Yese+ Mbethlehemu.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki