1 Samweli 17:43 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 43 Basi Mfilisti huyo akamuuliza Daudi: “Je, mimi ni mbwa+ hivi kwamba unijie na vijiti?” Ndipo huyo Mfilisti akamlaani Daudi kwa miungu yake. 1 Samweli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 17:43 Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),Na. 5 2016, uku. 11
43 Basi Mfilisti huyo akamuuliza Daudi: “Je, mimi ni mbwa+ hivi kwamba unijie na vijiti?” Ndipo huyo Mfilisti akamlaani Daudi kwa miungu yake.