1 Samweli 17:43 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 43 Kwa hiyo Mfilisti akamwambia Daudi: “Je, mimi ni mbwa+ hivi kwamba unijie na fimbo?” Basi huyo Mfilisti akamlaani Daudi kwa miungu yake.+ 1 Samweli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 17:43 Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),Na. 5 2016, uku. 11
43 Kwa hiyo Mfilisti akamwambia Daudi: “Je, mimi ni mbwa+ hivi kwamba unijie na fimbo?” Basi huyo Mfilisti akamlaani Daudi kwa miungu yake.+