Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 6:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Na hivi ndivyo utakavyoifanya: urefu wa safina utakuwa mikono+ 300, upana wake mikono 50, na kimo chake kitakuwa mikono 30.

  • Kumbukumbu la Torati 3:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Kwa maana Ogu mfalme wa Bashani ndiye tu aliyebaki kati ya mabaki ya Warefaimu.+ Tazama! Sanduku lake lilikuwa sanduku la chuma. Je, haliko kule Raba+ kwa wana wa Amoni? Urefu wake ni mikono tisa, na upana wake ni mikono minne, kwa mkono wa mwanadamu.

  • 2 Samweli 21:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Na vita vikatokea tena katika Gathi,+ wakati kulipokuwa na mtu mwenye ukubwa usio wa kawaida, mwenye vidole 6 katika kila mmoja wa mikono yake na vidole 6 katika kila mmoja wa miguu yake, jumla yake 24; naye pia alikuwa amezaliwa kwa Refaimu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki