1 Samweli 17:34 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 34 Ndipo Daudi akamwambia Sauli: “Mimi mtumishi wako nimekuwa nikichunga kondoo wa baba yangu, na simba+ akaja, na pia dubu, na kila mmoja wao akamchukua kondoo kutoka kundini. 1 Samweli Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 17:34 w11 9/1 27 1 Samweli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 17:34 Mnara wa Mlinzi,9/1/2011, uku. 27
34 Ndipo Daudi akamwambia Sauli: “Mimi mtumishi wako nimekuwa nikichunga kondoo wa baba yangu, na simba+ akaja, na pia dubu, na kila mmoja wao akamchukua kondoo kutoka kundini.