1 Samweli 17:49 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 49 Daudi akautia mkono wake ndani ya mfuko wake, akachukua jiwe kutoka humo, na kulirusha kwa kombeo. Akampiga Mfilisti huyo kwenye paji la uso, na jiwe hilo likapenya katika paji la uso wake, akaanguka chini kifudifudi.+ 1 Samweli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 17:49 Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),Na. 5 2016, uku. 12 Mnara wa Mlinzi,1/1/1989, kur. 19, 21
49 Daudi akautia mkono wake ndani ya mfuko wake, akachukua jiwe kutoka humo, na kulirusha kwa kombeo. Akampiga Mfilisti huyo kwenye paji la uso, na jiwe hilo likapenya katika paji la uso wake, akaanguka chini kifudifudi.+