1 Samweli 17:49 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 49 Ndipo Daudi akatia mkono wake ndani ya mfuko wake, akachukua jiwe kutoka humo, akalitupa kwa kombeo, hivi kwamba akampiga+ yule Mfilisti katika paji la uso wake, na lile jiwe likapenya ndani ya paji la uso wake, naye akaanguka kifudifudi.+ 1 Samweli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 17:49 Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),Na. 5 2016, uku. 12 Mnara wa Mlinzi,1/1/1989, kur. 19, 21
49 Ndipo Daudi akatia mkono wake ndani ya mfuko wake, akachukua jiwe kutoka humo, akalitupa kwa kombeo, hivi kwamba akampiga+ yule Mfilisti katika paji la uso wake, na lile jiwe likapenya ndani ya paji la uso wake, naye akaanguka kifudifudi.+