Mwanzo 37:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Basi akamwambia: “Tafadhali, nenda. Kaone kama ndugu zako wako salama salimini na kama kundi liko salama salimini, halafu uniletee habari.”+ Basi akamtuma toka nchi tambarare ya chini ya Hebroni,+ naye akaenda kuelekea Shekemu. 1 Samweli 17:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 Na haya mafungu kumi ya maziwa umpelekee mkuu wa elfu yao;+ pia, uangalie hali njema ya ndugu zako,+ nawe uchukue ishara kutoka kwao.”
14 Basi akamwambia: “Tafadhali, nenda. Kaone kama ndugu zako wako salama salimini na kama kundi liko salama salimini, halafu uniletee habari.”+ Basi akamtuma toka nchi tambarare ya chini ya Hebroni,+ naye akaenda kuelekea Shekemu.
18 Na haya mafungu kumi ya maziwa umpelekee mkuu wa elfu yao;+ pia, uangalie hali njema ya ndugu zako,+ nawe uchukue ishara kutoka kwao.”