1 Samweli 21:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Daudi akamwambia hivi kuhani: “Kwa hakika tumejitenga kabisa na wanawake kama tulivyofanya awali nilipoenda vitani.+ Ikiwa miili ya vijana hawa ni mitakatifu hata katika shughuli za kawaida, je, si mitakatifu zaidi leo?”
5 Daudi akamwambia hivi kuhani: “Kwa hakika tumejitenga kabisa na wanawake kama tulivyofanya awali nilipoenda vitani.+ Ikiwa miili ya vijana hawa ni mitakatifu hata katika shughuli za kawaida, je, si mitakatifu zaidi leo?”