5 Kwa hiyo Daudi akamjibu kuhani na kumwambia: “Wanawake wamekaa mbali nasi kama ilivyokuwa hapo mwanzoni nilipotoka,+ na viungo vya hao vijana vingali ni vitakatifu, ingawa utume wenyewe ni wa kawaida. Na je, si zaidi leo, mtu anapokuwa mtakatifu katika kiungo chake?”