-
1 Samweli 11:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Lakini tazama, Sauli akija nyuma ya mifugo yake kutoka shambani, naye Sauli akasema: “Watu wana nini, kwamba walie?” Wakaanza kumsimulia maneno ya wale watu wa Yabeshi.
-