1 Samweli 22:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Baada ya muda, nabii Gadi+ akamwambia Daudi: “Usiendelee kukaa mahali pasipoweza kufikiwa. Nenda zako, unapaswa kurudi katika nchi ya Yuda.”+ Kwa hiyo Daudi akaenda zake, akaingia katika msitu wa Herethi.
5 Baada ya muda, nabii Gadi+ akamwambia Daudi: “Usiendelee kukaa mahali pasipoweza kufikiwa. Nenda zako, unapaswa kurudi katika nchi ya Yuda.”+ Kwa hiyo Daudi akaenda zake, akaingia katika msitu wa Herethi.