2 Samweli 14:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Basi yule mwanamke Mtekoa akamwambia mfalme: “Kosa liwe juu yangu, na pia juu ya nyumba ya baba yangu,+ Ee mfalme, lakini mfalme na kiti chake cha ufalme hawana hatia.”
9 Basi yule mwanamke Mtekoa akamwambia mfalme: “Kosa liwe juu yangu, na pia juu ya nyumba ya baba yangu,+ Ee mfalme, lakini mfalme na kiti chake cha ufalme hawana hatia.”