23 Angalieni na kuhakikisha kuhusu mahali pote pa kujificha ambapo yeye hujificha; nanyi mrudi kwangu mkiwa na huo ushuhuda, nami nitaenda pamoja nanyi; na itatukia kwamba, ikiwa yupo katika nchi hiyo, nitamtafuta kwa uangalifu kati ya maelfu+ yote ya Yuda.”