-
1 Samweli 30:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Mwishowe Daudi akawafikia wale wanaume mia mbili+ ambao walikuwa wamechoka sana wasiweze kwenda na Daudi, na ambao waliwaacha waketi kando ya bonde la mto la Besori; nao wakatoka kuja kumpokea Daudi na kuwapokea watu waliokuwa pamoja naye. Daudi alipowakaribia watu hao, akaanza kuwauliza hali yao.
-