4 Ndipo wakasema: “Tunapaswa kumrudishia toleo gani la hatia?” Nao wakasema: “Kulingana na hesabu ya wakuu wa muungano+ wa Wafilisti, bawasiri tano za dhahabu na panya watano wa dhahabu, kwa maana kila mmoja wenu na wakuu wenu wa muungano wana tauni ileile.