Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 10:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Yehova naye akawavuruga mbele ya Israeli,+ nao wakaanza kuwaua kwa mauaji makuu katika Gibeoni,+ wakawafuatilia kwa njia ya mpando wa Beth-horoni, wakawaua mpaka Azeka+ na Makeda.+

  • Waamuzi 4:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Ndipo Yehova akaanza kumvuruga+ Sisera na magari yake yote ya vita na kambi yote kwa makali ya upanga mbele ya Baraka. Mwishowe Sisera akashuka kutoka garini, akaanza kukimbia kwa miguu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki