1 Wafalme 21:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Ndipo Yezebeli mke wake akamwambia: “Je, ni wewe unayetawala ukiwa mfalme juu ya Israeli?+ Amka, ule mkate na moyo wako ufurahi. Mimi mwenyewe nitakupa shamba la mizabibu la Nabothi Myezreeli.”+
7 Ndipo Yezebeli mke wake akamwambia: “Je, ni wewe unayetawala ukiwa mfalme juu ya Israeli?+ Amka, ule mkate na moyo wako ufurahi. Mimi mwenyewe nitakupa shamba la mizabibu la Nabothi Myezreeli.”+