16 Ndipo akagawanya wale watu mia tatu katika vikosi vitatu na kuwapa wote mkononi baragumu+ na mitungi mikubwa mitupu, na mienge ndani ya mitungi hiyo mikubwa.
43 Kwa hiyo, akawachukua watu na kuwagawanya wawe vikosi vitatu,+ akaanza kuvizia shambani. Ndipo akaangalia, na tazama, watu walikuwa wakitoka nje ya jiji. Basi akaenda juu yao, akawapiga na kuwaua.