1 Samweli 13:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Naye akaendelea kungojea siku saba mpaka wakati uliowekwa ambao Samweli alikuwa amesema;+ na Samweli hakuja Gilgali, na watu wakawa wanatawanyika kutoka kwake.
8 Naye akaendelea kungojea siku saba mpaka wakati uliowekwa ambao Samweli alikuwa amesema;+ na Samweli hakuja Gilgali, na watu wakawa wanatawanyika kutoka kwake.