-
1 Samweli 14:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Ndipo Sauli akawaambia watu waliokuwa pamoja naye: “Tafadhali, fanyeni hesabu, mwone ni nani ambaye ametoka kwetu.” Walipohesabu, tazama! Yonathani na mchukua-silaha wake hawakuwepo.
-